Taarifa ya Tusome Pamoja

Speeches Shim

Mradi wa Tusome Pamoja wa USAID unakusudia kuboresha mafunzo ya ujuzi wa stadi za msingi kwa madarasa ya chini ya elimu ya msingi, kuimarisha mifumo ya mafunzo ya ujuzi, na kuongeza ushiriki wa wazazi na jamii katika elimu. Mradi unafanya kazi katika mikoa mitano lengwa ili kuwafikia zaidi ya wanafunzi 706,724 katika darasa la kwanza hadi la nne, na pia walimu 26,000.

Date 
31-10-2018 08:15