Taarifa ya Kizazi Kipya

Speeches Shim

Mradi wa Kizazi Kipya wa USAID ni mradi wa miaka mitano unaofadhiliwa na USAID / PEPFAR ambao unawasaidia watoto yatima wa Tanzania na watoto wanaoishi katika mazingira hatarishi (OVC), vijana walioathiriwa na VVU na walezi wao kutumia huduma za VVU na huduma zingine zinazoendana na umri wao. Huduma zitaboresha matunzo, afya, lishe, elimu, kinga, njia za kuishi, na afya ya kisaikolojia ya wanafamilia.

Date 
26-03-2019 06:45