Taarifa ya Hesabu na Elimu Jumuishi

Speeches Shim

Mradi wa Hesabu na Elimu Jumuishi umeundwa kuboresha mafunzo ya hesabu kwa watoto katika madarasa ya chini na kushughulikia mahitaji ya elimu jumuishi kwa watoto wenye ulemavu. Mradi huu unatokana na mradi wa USAID wa Tusome Pamoja kusaidia elimu jumuishi katika maeneo ya mradi na kutoa msaada wa kitaalamu, vifaa vya kufundishia, na msaada kwa wanafunzi shuleni na darasani.

Date 
03-12-2019 08:30