Taarifa ya Data-Driven Advocacy

Speeches Shim

Mradi wa Data Driven Advocacy unalenga kuboresha na kudumisha uwezo wa asasi za kiraia (AZAKI) za Tanzania katika kushawishi mabadiliko chanya ya sera juu ya masuala ya haki za binadamu kwa kuhakikisha matumizi sahihi ya takwimu na taarifa. Data-Driven Advocacy itashiriki katika masuala anuwai ya kisekta, ikiwa ni pamoja na masuala ya haki za ardhi, ukatili wa kijinsia, haki ya elimu, makundi maalum ya watu katika jamii, wanawake na vijana.

Date 
24-09-2019 08:15