Taarifa ya Boresha Afya - Southern Zone

Speeches Shim

Mradi wa USAID Boresha Afya unaboresha Afya – Mradi wa Boresha Afya Southern zone unafanya kazi kushughulikia mapungufu ya huduma za afya katika maeneo yote ya mikoa ya Iringa, Njombe, Morogoro, Lindi, Mtwara, na Ruvuma. Mradi huu hutumia njia inayolenga mahitaji ya mteja katika kutoa huduma kwenye maeneo yenye kiwango cha juu cha VVU, Kifua Kikuu, Malaria, na maeneo yenye uhitaji mkubwa wa huduma za uzazi wa mpango na huduma za afya ya mama na mtoto. Mradi huu unasaidia pia ujumuishaji wa huduma mbali mbali za afya ndani ya vituo, na hivyo kuboresha ufanisi, kuongeza matumizi sahihi ya rasilimali, na kuhakikisha wateja wanapata huduma mbali mbali kutoka eneo moja.
 

Date 
13-06-2019 04:45